Je, kwa nini uchague Exness
Imarisha mkakati wako wa biashara kupitia hali za bora kuliko za soko.
Fanya biashara kwa faida zaidi
Masharti yetu ya kiwango cha juu ya biashara, vipengele vya biashara na ulinzi wetu huupa mkakati wako faida inayostahili.
Spreads⁴ bora zaidi kwenye dhahabu
Soko la dhahabu linapobadilika, bei zetu hubaki chini na thabiti.
Execution ya kasi ya juu sana
Tekeleza biashara katika milisekunde kwenye mifumo ya MetaTrader na Terminali zetu za Exness.
Kiwango cha stop out cha 20%
Kaa sokoni kwa muda mrefu ukiwa na stop out ya margin level ya 20% kwenye akaunti zote.
Pesa yako ni yako. Bila shaka.
Fikia funds zako kwa wakati wowote, kwa njia yoyote bila ada za ziada.
Utoaji fedha wa papo hapo¹
Hatua za utoaji fedha huchakatwa kwa sekunde, hivyo kukupa ufikiaji wa funds zako, hata katika wikendi.
Hakuna ada za transaction²
Tunalipa ada zako za transaction za wahusika wengine kwa hivyo huhitajiki kulipa.
Optons za malipo za kieneo
Ukiwa na watoa huduma wengi wa malipo wa kieneo na kimataifa, una uhuru wa kuchagua.
Una fursa na mahali pasipo na hatari
Funds na data zako ziko salama kila wakati. Ukiwa na Exness unalindwa na itifaki za tasnia za kiwango cha juu.
Mbinu za biashara zenye uwazi
Jaribu mkakati wako wa biashara kwa historia yetu kamili ya tick. Jionee jinsi bei na execution yetu inavyoweza kutegemewa.
Leseni nyingi za udhibiti
Tumepewa leseni na kudhibitiwa na bodi zinazoongoza za kimataifa. Fanya biashara ukiwa na uhakika kuwa data yako ya kifedha inalindwa.
Akaunti zilizotengwa
Pesa zako huwekwa kwa akaunti tofauti na funds za kampuni kila wakati, kwa hivyo utakuwa na uwezo wa kuzifikia kila wakati. Bila visingizio.
Zingatia kufanya biashara. Tutashughulikia mengine.
Wewe shughulika na instruments za kutrade na wakati wa kutrade. Tunajitahidi kupunguza gharama na kuboresha execution yako.
Gharama za chini za biashara
Furahia ada na viwango vya spread vya chini zaidi kwenye soko.³
Hakuna athari ya soko
Fanya biashara ya orders kubwa na spreads na bei sawa na traders wengine wote.³
Utekelezaji bora wa biashara
Nufaika na mchakato wetu wa utekelezaji wa biashara na liquidity iliyohakikishwa.
Fanya biashara na broker anayeaminika leo
Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.