VPS Hosting bila malipo
Fikia biashara yenye uhakika, haraka na salama ukitumia Virtual Private Server yetu isiyolipishwa.
VPS ni nini?
VPS inamaanisha Virtual Private Server. Seva hizi huwekwa kimkakati karibu na seva za MT za Exness ili kutoa mazingira ya biashara ya haraka na salama popote ulipo duniani. Seva za VPS hukuruhusu kuendesha mikakati ya biashara ya kiotomatiki bila kuathiriwa na vikwazo vya kompyuta yako ya mezani au vya muunganisho wa intaneti.
Kasi
Seva za VPS ziko karibu na seva za biashara za Exness, hatua inayohakikisha execution ya haraka na ya kuaminika.
Uthabiti
Kuendesha Expert Advisor yako kwenye VPS huhakikisha kuwa execution ya EA inaendeshwa kwa urahisi, bila kujali hali ya muunganisho wako wa intaneti.
Trade ya saa 24
Fanya trade kwenye masoko ya kifedha kwa kutumia Expert Advisors hata wakati kompyuta yako imezimwa.
Uhamishaji na ubebekaji
Fikia akaunti yako na ufanye trade kwenye masoko ya kifedha kutoka popote duniani bila kusakinisha programu yoyote. VPS inapatikana kwenye mfumo wowote wa uendeshaji.
Vipimo vya maunzi ya VPS
Mfumo wa uendeshaji
Seva ya Windows 2019 bit 64
CPU
CPU yenye core 2
RAM
GB 2
Nafasi ya hifadhi ya diski
GB 50
Nenosiri
Nenosiri thabiti na la kipekee
Tuma ombi la VPS hosting
Sasa unaweza kutuma ombi la VPS bila malipo kupitia Eneo lako la Binafsi. Pata maelezo zaidi kuhusu mchakato wa kutuma ombi na vigezo vya kutimiza masharti kwenye Kituo chetu cha Usaidizi.
Boresha jinsi unafanya biashara
Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.