Exness Team Pro

Timu ya traders wa kipekee wanaoshiriki safari zao na ulimwengu. Jifunze kutokana na uzoefu wao wa kibinafsi, maarifa yao kipekee, na mikakati iliyothibitishwa.

Karibu kwenye ligi kuu

Exness Team Pro ni jumuiya ya kimataifa ya traders wenye vipaji kutoka maeneo mbalimbali. Hebu tuchunguze kwa makini hadithi zao za ajabu.

Kutana na wanachama wa Exness Team Pro

Wamejitolea kuelimisha traders ambao wangependa kufanya biashara kwa usaidizi wa masharti yetu bora ya biashara. Exness Team Pro itakusaidia kukuza ujuzi wako na kukuongoza kupata mafanikio ya muda mrefu.

Adrian

Adrian ni trader mwenye uzoefu kutoka Marekani Kusini, aliyebobea katika biashara ya siku moja ya forex, indices na crypto. Kwa uzoefu wake wa miaka 14, anasisitiza umuhimu wa udhibiti wa pesa. Yeye ni mshauri anayeheshimika kwa zaidi ya wanafunzi 8,000 wa biashara na anathamini Exness kwa uwazi wake. Anaamini katika urahisi wa kufanya biashara.

Albadi

Albadi, trader aliyebobea kutoka Mashariki ya Kati aliye na miaka 10 katika biashara ya siku moja na scalping, huangazia forex, metali na indices. Huwa anatumia RSI, moving averages na Dhana za Smart Money. Huwa anashauri traders wapya kuhusu umuhimu wa udhibiti wa hatari na husifu Exness kwa urahisi wake wa watumiaji, utoaji pesa wa haraka na options za leverage.

Dennis

Trader aliyebobea. Kama mwanahabari wa miaka 20, amevutiwa zaidi na jinsi matukio ya kimataifa yanavyoathiri masoko tangu aanze kutrade miaka 8 iliyopita. Dennis ana umuhimu katika mambo 3 muhimu: ushauri, mafunzo, na uadilifu.

Kojo

Trader wa muda mfupi mwenye rekodi ya kuvutia na mbinu ya kipekee kwa masoko. Kutoka kiwango cha chini hadi mafanikio ya ajabu, safari yake inaonyesha dhamira yake ya kweli ambayo imesababisha kutambuliwa kama mmoja wa traders wenye vipaji, nidhamu na ushawishi mkubwa katika eneo lake.

Mandy

Mandy, mwanachama wa Timu ya Wataalamu ya Exness kutoka SSA, hufanya vyema katika biashara ya siku moja na ya muda mfupi hadi muda wa kati, akibobea katika metali na forex. Akifanya biashara kupitia simu ya mkononi, anaangazia umuhimu wa mawazo thabiti na udhibiti wa hatari, pamoja na kuchagua broker anayetegemewa kwa ukuaji endelevu. Anathamini Exness kwa transactions rahisi na jukwaa la kuaminika.

Mohsin

Trader wa Forex na bidhaa ambaye amefanya athari kubwa kwenye tasnia ya biashara kupitia mafunzo na ujuzi wake wa biashara. Anasifika kwa kuwatia moyo na kuwawezesha wafanyabiashara kupitia elimu na mwongozo, na anatambuliwa kimataifa.

Momen

Trader wa mchana na wa kipindi kifupi ambaye anastawi katika ulimwengu wa Forex. Kama mkufunzi na mshauri anayeheshimika na aliye na uzoefu wa zaidi ya miaka 6, Momen anatamani kuwasaidia traders kupata maarifa na ujuzi unaohitajika ili kufanikiwa.

Mr. Platinum

Bwana Platinum, trader wa kitaaluma kutoka SSA, amebobea katika scalping na biashara ya siku moja ya forex na indices. Huwa anashauri kupitia kozi za wavuti na anathamini Exness kwa trades za haraka, spreads ndogo, usaidizi bora wa wateja na usawa wake wa maadili na teknolojia. Huwa anatoa ushauri kwa traders wanaoanza kutumia mkakati wa msingi wa biashara na kupata mshauri.

Nicolas

Trader wa mchana na wa muda mfupi mwenye uzoefu wa biashara wa miaka 4. Nicolas ana mtazamo wa kiuchanganuzi, udhibiti wa kihisia, na ujuzi wa soko wa kina. Nicolas anapenda kushiriki maarifa na vidokezo vya kielimu, kwa mujibu wa ujuzi wake mwingi wa hisa na crypto.

Orphee

Orphee, forex trader mtaalamu wa SSA aliyebobea katika scaping na biashara ya siku moja, anathamini nidhamu na udhibiti wa hatari. Anapendelea indicator yake maalum ya 'Renaissance Perfect Entry' na hutoa ushauri kupitia kozi za mtandaoni. Akijivunia kuwa mwanachama wa Timu ya Wataalamu ya Exness, anajumuisha uwazi, uvumbuzi na elimu, akilenga kuwezesha jumuiya kubwa ya wafanyabiashara.

Salim

Salim ni trader wa kitaaluma kutoka Afrika Kaskazini aliyebobea katika biashara ya position, ​​indices na metali, hasa Nasdaq na dhahabu. Huwa anatoa kozi za biashara mtandaoni na anafurahia spreads za chini za Exness, ada za chini na jukwaa thabiti. Salim anaamini katika kuendelea kujifunza na anapendekeza traders wawe na elimu thabiti wanapoanza.

Taarifa zilizotolewa na Exness Team Pro ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na hazifai kufasiriwa kuwa zina ushauri wa uwekezaji au zinatoa maombi ya transactions zozote katika financial instruments. Wawasilishaji au Exness hawazingatii malengo yako ya kibinafsi ya uwekezaji au hali yako ya kifedha na hawachukui dhima yoyote kwa usahihi, ufaafu au ukamilifu wa taarifa zilizotolewa, au kwa hasara yoyote inayotokana na taarifa yoyote iliyotolewa. Maoni yoyote yanayotolewa ni ya kibinafsi kwa wawasilishaji na huenda yasionyeshe maoni ya Exness. Utendaji wa awali hauhakikishii au kubashiri utendaji wa siku zijazo. Tafuta ushauri wa kibinafsi ikiwa unauhitaji.

Fuata Exness

Pata maelezo zaidi kuhusu Exness Team Pro