Akaunti za Biashara: Standard
Akaunti zenye vipengele vingi, zisizotozwa ada zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara wa kisasa. Jisajili na ufurahie manufaa ya akaunti yetu maarufu zaidi.
Standard
Akaunti yetu maarufu zaidi, inafaa kwa wafanyabiashara wote.
Kuanzia pips 0.2
Hakuna ada
1:400
Forex, metali, nishati, hisa, fahirisi
0.01
200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)
Bila kikomo
0%
60%
20%
Soko
Inapatikana
Standard | |
---|---|
Kiwango cha chini cha amana | |
Spread³ | Kuanzia pips 0.2 |
Ada | Hakuna ada |
Kiwango cha juu cha leverage | 1:400 |
Instruments | Forex, metali, nishati, hisa, fahirisi |
Ukubwa wa chini zaidi wa lot | 0.01 |
Ukubwa wa juu zaidi wa lot | 200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0) |
Idadi ya juu zaidi ya positions | Bila kikomo |
Hedged margin | 0% |
Margin call | 60% |
Stop out | |
Utekelezaji wa order | Soko |
Swap-free | Inapatikana |
Maswali yanayoulizwa sana
Je, ni ukubwa gani wa juu zaidi wa lot kwa kufanya biashara wakati wa usiku?
Ukubwa wa juu zaidi wa lot unaopatikana ni lots 20 kwa kila position kuanzia saa 21:00 hadi saa 06:59 GMT+0 katika aina zote za akaunti za Exness, kwa indices zote, na kwa bidhaa zifuatazo: UKOIL, USOIL, XNGUSD, XAUUSD, XAGUSD., XAGAUD, XAGGBP, XAGEUR, XPDUSD, XPTUSD, XALUSD, XCUUSD, XZNUSD, XPBUSD. XNIUSD huwa lots 10 kwa kila position. Instruments zingine zote, isipokuwa zilizo hapo juu, huwa na ukubwa wa juu zaidi wa lots 60 wakati wa usiku.
Boresha jinsi unafanya biashara
Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.