Exness Premier
Jiunge na biashara yenye mafao ukitumia Exness Premier. Programu yetu ya faida za biashara ya Exness Premier ambayo imeundwa mahususi ili kukutunuku - wateja wetu wanaoendeleza biashara na waaminifu.
Furahia biashara ya kipekee ukiwa na Exness Premier
Preferred
Anza matumizi yako ya Premier kwa kugundua mafao ya kipekee ukiwa na usaidizi uliopewa kipaumbele, uchanganuzi wa kitaaluma na ofa maalum.
Vigezo vya kustahiki
Jumla ya pesa zote zilizowekwa $20,000
Kiwango cha biashara kwa kila robo $50 mln
Elite
Pata mafao yote ya Preferred, pamoja na usaidizi uliobinafsishwa na wa haraka na meneja maalum wa akaunti kwa mahitaji yako yote ya Premier.
Vigezo vya kustahi
Jumla ya pesa zote zilizowekwa $50,000
Kiwango cha biashara kwa kila robo $100 mln
Signature
Fikia hali ya Signature: Mafao ya Preferred na Elite, pamoja na fursa za mitandao ya kiwango cha juu, ufikiaji wa moja kwa moja wa wasimamizi wetu wa utendaji, na masharti ya kipekee ya biashara.
Vigezo vya kustahiki
Jumla ya pesa zote zilizowekwa $100,000
Kiwango cha biashara kwa kila robo $200 mln
Premier Preferred
Anzisha safari yako ya Premier hapa, ukinufaika na mafao ya kipekee.
Huduma kwa mteja iliyopewa kipaumbele
Pata usaidizi uliopewa kipaumbele wa 24/7
Maudhui ya kipekee ya elimu
Furahia maudhui na nyenzo za biashara za Premier pekee
Uchanganuzi wa biashara ulioimarishwa
Kuwa wa kwanza kupokea ripoti maalum za biashara
Ofa na zawadi maalum
Pata zawadi za kipekee kupitia programu zetu za zawadi
Mafao na zawadi za faida za biashara za Exness Premier zinaweza kutofautiana kulingana na eneo na haziwezi kurejeshwa au kuhamishwa. Sheria na masharti hutumika.
Fanya biashara katika Exness
Jisajili leo na uanzie safari yako ya kuwa mteja wa Exness Premier.