Podikasti ya Born to Trade
Jukwaa lako bora kwa hadithi zisizosimuliwa, mazungumzo yenye ujasiri na maarifa yanayoweza kutumika kuhusu ulimwengu wa biashara.
Sehemu ya 1: Je, traders huzaliwa na uwezo wa kiasili au hufunzwa? – Ikishirikisha Kojo Forex
Maelezo ya sehemu hii
Tunawaletea sehemu ya kwanza ya podikasti ya Born to Trade. Katika sehemu hii ya kwanza, tunaketi na gwiji Kojo Forex kujadili swali muhimu la: Je, traders huzaliwa na uwezo wa kiasili au hufunzwa? Jiunge nasi huku Kojo akishiriki mambo yanayomkuza trader, hadithi yake binafsi na vidokezo vinavyoweza kutumika kwa traders watarajiwa.
Kutana na mtangazaji wako
Nima Siar
Nima Siar ni Mkuu wa Ushirikiano na Mipango ya Maendeleo ya Biashara katika Exness. Akiwa na takriban miaka 15 ya uzoefu katika sekta ya biashara, ana ujuzi madhubuti katika uchanganuzi wa kiufundi, mikakati ya masoko, usimamizi wa mauzo, pamoja na uuzaji wa ushirika na kupitia barua pepe.
Maelezo ya mgeni
Kojo Forex
Mvumbuzi katika ulimwengu wa biashara, Kojo Forex ni maarufu kupitia ujuzi wake wa kipekee, bidii yake isiyo na kikomo na kujitolea kuwawezesha wengine. Akiwa na uzoefu wa miaka mingi na ujuzi wa kina wa soko, Kojo ndiye mgeni bora wa kuanzisha mfululizo wetu wa podikasti.
Fuatilia sehemu mpya kila baada ya wiki mbili
Zitakazoshirikisha wataalamu wakuu, maarifa ya kipekee na masomo kutoka duniani halisi. Fuata Podikasti ya Born to Trade kwenye:
Maswali yanayoulizwa sana
Je, Podikasti ya Born to Trade inawalenga nani?
Podikasti ya Born to Trade imeanzishwa kwa yeyote anayevutiwa na biashara, iwe wewe trader anayeanza, trader mtarajiwa, au mtaalamu mwenye uzoefu anayetafuta mtazamo mpya. Kila sehemu inatoa maarifa muhimu, mijadala ya wataalamu na uzoefu wa kujifunza ili kukusaidia kukua katika masoko.
Je, sehemu mpya hutolewa baada ya muda upi?
Sehemu mpya za podikasti ya Born to Trade hutolewa kila baada ya wiki mbili, siku ya Alhamisi. Fuatilia mazungumzo na wataalamu wa sekta na wataalamu wa mitazamo, tukichambua mada kuanzia saikolojia ya biashara hadi mikakati ya masoko.
Je, ninaweza kusikiza podikasti ya Born to Trade wapi?
Unaweza kusikiza Podikasti ya Born to Trade kwenye majukwaa yote makubwa, ikiwa ni pamoja na Spotify, YouTube na Apple Podcasts. Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa masasisho kuhusu sehemu mpya na mambo muhimu.
Badilisha maarifa kuwa hatua
Chukua hatua ya kwanza katika safari yako ya biashara—sikiza, jifunze na ufanye trade kwa kujiamini.