Maoni ya Exness
Brokers wengi wanaweza kusema kuwa wao ndio bora zaidi, lakini tunaruhusu maoni ya Exness yaonyeshe. Soma maoni halisi ya Exness na ugundue kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders wengi ulimwenguni.
Hatutakuomba kamwe kuamini mchakato. Kuaminiana ndio mchakato.
Mazingira ya uwazi na salama ya biashara hujengwa kwa kuzingatia usalama na uwazi. Sio ngumu. Kama broker aliyedhibitiwa, Exness hufanya kazi chini ya viwango vikali vya kifedha na kuhakikisha kuwa funds za mteja zinalindwa katika akaunti zilizotengwa.
Broker bora zaidi - kile tu nilichokuwa nikitafuta
Nimejaribu brokers wengi. Nimefurahishwa sana na Exness. Ni broker bora zaidi kati ya wale niliotumia. Jukwaa lao ni la kushangaza, ni nadra sana kupata slippage na wana instant execution na hatua za uwekaji na utoaji pesa. Huduma yao kwa mteja ni bora. Huyu ndiye broker ambaye nimekuwa nikitafuta kila wakati. Nimependekeza Exness tayari kwa marafiki na familia.
Juan Estenan Ramirez
Uzoefu wangu katika jukwaa la Exness
Uzoefu wangu katika kutumia jukwaa la Exness ulikuwa mzuri sana na muhimu. Nilianza na akaunti ya demo inayotolewa na jukwaa hilo bila malipo ili kujifunza jinsi ya kutrade. Kisha nikahamia kwenye akaunti yangu real na kuanza kutrade kwa kutumia leverage inayopatikana ndani ya huduma za jukwaa la Exness. Mwongozo wa kiufundi na kifedha pia unapatikana kwenye jukwaa.
Farid Badi
Asante sana Exness kwa social trading
Kampuni hii imeweka juhudi nyingi kwa wateja ambao hawawezi hata kujifanyia trade. Mimi binafsi hutumia programu yao kunakili trades za watu wengine na ndiyo njia rahisi na isiyo na mafadhaiko ya kupata pesa kutoka kwao, asante sana Exness kwa programu ya Social trading kwenye play store.
Skt Shards
Uzoefu wa kupendeza katika EXNESS
Nilitaka kuanza biashara na nilikuwa nikitafuta kwa hamu jukwaa zuri. Baada ya utafutaji wa kina, nilichagua kutumia EXNESS na nimefurahishwa sana na uamuzi wangu. Si tu jukwaa rahisi kutuma lakini pia lina makala rahisi zaidi na muhimu. Asante sana, EXNESS kwa uzoefu huu wa kupendeza.
Vijay
Kwa kweli Exness imezidi matarajio yangu
Kwa kweli Exness imezidi matarajio yangu. Kuanzia urahisi wa kuweka mipangilio ya akaunti hadi aina nyingi za mali, nimeweza kupanua portfolio yangu kwa urahisi. Lakini uzoefu bora zaidi umekuwa katika utoaji pesa. Hatua hizo ni za haraka, za kuaminiwa na hazina usumbufu, jambo ambalo linanipa faraja kubwa, haswa ninapohitaji ufikiaji wa haraka wa funds zangu. Huduma yao kwa mteja pia imekuwa sikivu sana wakati wowote nimekuwa na maswali. Exness ni jukwaa ambalo linathamini na kusaidia traders wake.
Andrew Angelos
Jukwaa bora zaidi, ningependa kulikadiria 10/10
Jukwaa bora zaidi, kama kungekuwa na nyota 10 ningeikadiria juu hivyo. Baada ya majukwaa yote mabaya ambayo nimejaribu na baada ya pesa zote ambazo nimepoteza, hatimaye nilipata Exness. Hatua za haraka sana za utoaji pesa bila vikwazo, hukufunza njia nzuri ya kufungua mikataba kupitia video kwenye YouTube na kozi zingine, hakuna msimamizi wa akaunti wa kukupotosha na kukufanya upoteze pesa kama katika majukwaa mengine. Jukwaa hili lina spreads za chini na halitozi malipo ya swap. Jukwaa salama sana na la kuaminika.
Hanan ElSherbiny
Broker bora zaidi
Exness ni mojawapo ya brokers bora, wa haki na mwenye uwazi kati ya wale ambao nimewahi kutumia. Vipengele vyote ni bora, spreads ni nzuri na kipengele cha kutoa pesa papo hapo ni kizuri kutumia. Zaidi ya hayo, ulinzi dhidi ya salio la sufuri na ulinzi wa dhidi ya stop-out huifanya Exness kuwa ya kipekee kati ya brokers wengine wote. Ninapenda kuitumia. Huduma yao kwa mteja inasaidia sana. 😊
Mohsin
Exness ni chaguo nzuri kwa traders
Exness ni chaguo nzuri kwa traders wanaopea kipaumbele execution ya haraka, spreads za chini na hatua rahisi za utoaji pesa. Urahisi wake katika aina za akaunti na instruments mbalimbali huifanya kuwafaa traders wa viwango tofauti vya ujuzi. Uwazi wa jukwaa na huduma thabiti kwa mteja huifanya iwe option ya kuaminika kwa biashara ya CFD.
Isaac Arthur

Inaaminika kote ulimwenguni
Ubunifu ndilo jambo la msingi katika Exness na kupitia uboreshaji unaoendelea, tunatoa jukwaa linaloaminika ambapo traders wanaweza kujisikia jasiri na salama. Gundua kwa nini jibu la swali: "Je, Exness ni halali?" ni "bila shaka."
Je, kwa nini utumie Exness
Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.
Kutoa pesa papo hapo
Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹
Execution ya kasi zaidi
Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.
Ulinzi Dhidi ya Stop Out
Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.
Maswali yanayoulizwa sana
Je, nitaanzaje kutrade na Exness?
Ili kuanza kutrade katika Exness, sajili akaunti na uweke funds kwa mara yako ya kwanza, huku ukichagua kati ya Akaunti za Standard au za Kitaaluma. Chagua jukwaa la biashara kama vile programu ya Exness Trade, Terminali ya Exness, au MetaTrader 4/5, zinazopatikana kwenye kompyuta ya mezani, tovuti au kifaa cha mkononi. Chagua kutoka kwa instruments nyingi kwenye jukwaa lako. Tumia kikokotoo cha uwekezaji ili kuhakikisha funds zinatosha kwa masharti ya margin na uangalie saa za biashara za instrument kadri zinavyotofautiana.
Ili kutrade, kuingia, kutekeleza orders za 'Ununuzi' au 'Uuzaji', weka vigezo na uthibitishe. Funga trades kwa kutumia maagizo ya jukwaa. Tumia rasilimali za usaidizi wa Exness inapohitajika.
Je, ninawezaje kusajili akaunti ya Exness?
Ili kusajili akaunti ya Exness, bofya 'Jisajili', na uchague nchi unakoishi (kumbuka kuwa chaguo hili ni la kudumu na litaathiri njia za malipo zinazopatikana). Weka anwani yako ya barua pepe, unda nenosiri na uweke kwa hiari msimbo wa mshirika ikiwa unao. Kisha unaweza kuthibitisha akaunti yako kwenye Eneo lako la Binafsi.
Je, Exness hufanya nini?
Exness ni udalali wa mali nyingi ambao unajishughulisha katika kutoa mikataba ya utofauti (CFDs) kwenye instruments mbalimbali za biashara, ikiwa ni pamoja na bidhaa, stocks na indices. Exness ni mpatanishi kati ya traders na masoko ya kifedha, huku ikitoa huduma kama vile order execution, utafiti na akili ya soko kupitia mifumo yetu ya kisasa. Inajitofautisha kwa kutoa masharti ya ushindani, bora kuliko ya soko na kutoa vipengele kama vile Ulinzi dhidi ya Stop Out na Ulinzi dhidi ya Salio Hasi.
Je, Exness ni halali?
Exness inadhibitiwa na mamlaka kadhaa, ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya Huduma za Kifedha (FSA) ya Ushelisheli, Tume ya Amana na Ubadilishaji Fedha ya Kupro (CySEC), Mamlaka ya Maadili ya Kifedha (FCA) ya Uingereza, Benki Kuu ya Curaçao na Sint Maarten (CBCS), Tume ya Huduma za Kifedha (FSC) katika Visiwa vya Virgin vya Uingereza na Mauritius, Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Kifedha (FSCA) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMA), ambayo inathibitisha uhalali wake kama udalali. Zaidi ya hayo, Exness inahakikisha uwazi kupitia ukaguzi wa kifedha wa mara kwa mara unaofanywa na wahasibu huru, ikiwa ni pamoja na Deloitte, mmoja wa wakaguzi 'Wakuu Wanne', kuonyesha kujitolea kwao kwa kufuata kanuni na kuaminiwa katika operesheni zao.
Fanya biashara na broker anayeaminika leo
Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.