Hii ni Exness Kenya

Exness ni broker wa mali nyingi, anayeendeshwa na teknolojia. Tunatoa spreads za chini zaidi katika sekta, teknolojia ya kiwango cha juu ya biashara na majukwaa salama ya biashara kwa traders nchini Kenya.

Ubunifu unakutana na usawa

Exness, iliyoanzishwa mwaka wa 2008, inaunganisha maadili na teknolojia ili kuunda hali bora ya biashara. Hivi sasa, tunasaidia zaidi ya traders 800,000 duniani kote na tunafanya kazi kama broker aliyeidhinishwa nchini Kenya kutoa huduma maalum ambazo zinatii kanuni za kieneo kikamilifu. Tumeanzisha vipengele vya kipekee kama vile utoaji wa pesa wa papo hapo¹ na Ulinzi dhidi ya Stop Out, kuweka viwango vipya vya uzoefu wa biashara. Zaidi ya biashara, tunazingatia kuunda mfumo wa ikolojia unaostawi kwa traders, washirika na wafanyikazi. Kwa kuendana na mahitaji ya kipekee ya soko la Kenya, tunatoa usaidizi uliojanibishwa, kuzingatia kanuni za kieneo na kutoa zana za kiwango cha juu za ukuaji.

Kama timu ya wahandisi wa kifedha, tumekuza mazingira ambapo traders wanaweza kuhisi kuwa salama na wamewezeshwa.

Petr Valov

Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu

Tunapea wateja wetu kipaumbele

Exness imejitolea kusaidia traders nchini Kenya kwa huduma zinazobinafsishwa kulingana na mahitaji yao. Tukiungwa mkono na timu ya kimataifa ya zaidi ya wataalamu 2,000, tunatoa maarifa na zana zilizojanibishwa ili kuendana na soko la Kenya. Kwa kujenga miunganisho thabiti, tunahakikisha kuwa huduma zetu zinawawezesha traders nchini na kimataifa.

2,400+

wafanyakazi

Ofisi 7

kote duniani

98

mataifa

4

mabara

Kutrade nchini Kenya kupitia maadili yetu

Katika Exness, kila uamuzi, kutoka kwa mkakati hadi huduma kwa mteja, unaongozwa na maadili manne ya msingi.

Mbinu ya ujasiri

Kila wakati tunavumbua na kukua, kuhakikisha kuwa tunakidhi mahitaji ya traders nchini Kenya na duniani kote.

Watu wazuri

Timu yetu inaongozwa na maadili na kuendeshwa na shauku. Tunafanya kazi pamoja ili kuunda uzoefu bora ya biashara.

Wataalamu wa kiteknolojia

Tunatumia teknolojia ya hali ya juu na miundo inayoendeshwa na data ili kulinda traders na kutoa masharti bora kuliko ya soko.

Biashara ya kuaminika

Kwa kutoa spreads ndogo na thabiti, execution ya haraka na mafao yanayolenga mteja, tunatoa uaminifu wa kipekee kwa traders wetu.

Ufikiaji wa kimataifa, athari za kieneo

Tunapenda kusaidia wengine. Tunawekeza katika jumuiya zinazotuzunguka kupitia mipango yetu ya kimataifa ya Uwajibikaji wa Shirika kwa Jamii (CSR) .

Jenga mustakabali wa biashara nchini Kenya nasi

Jiunge na timu yetu kubwa ya wahandisi, wasanidi programu, wauzaji na wavumbuzi tunapobadilisha ulimwengu wa biashara kwa traders na washirika wetu.